Posts

UONGOZI NI MSINGI WA MAENDELEO..... #InsideStoryBook2020: LADDER OF LEADERSHIP FOR THE NEXT GENERATION LEADERS: 10 Steps to Enrich Your Leadership Potential

Image
“Uongozi ni msingi au sharti kuu la maendeleo endelevu kwa nchi yeyote ile” Prof. Joseph Semboja Wanazuoni wa Sayansi ya Siasa na Uchumi Prof. Daron A. na Prof. J. Robnson katika Kitabu chao Why Nations Fail: The Origin of Power, Poverty and Prosperity wamefanya uchambuzi linganifu wa maendeleo baina ya nchi mbalimbali duniani. Matokeo ya utafiti wao kuhusu utofauti wa kiwango cha maendeleo kati ya nchi hizo, yanaeleza chanzo cha umasikini na utofauti wa kiwango cha maendeleo ni kutokana na taasisi zilizopo katika nchi husika, kwa maana ya taasisi za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Nchi zenye taasisi imara (strong institutions) zina kiwango kikubwa cha maendeleo ukilinganisha na nchi zenye taasisi dhaifu (weak institutions). Taasisi imara ndiyo kichocheo cha maendeleo endelevu na taasisi dhaifu ni kikwazo cha maendeleo. Taasisi hizi hazijitengenezi zenyewe bali zinajengwa na kuimarishwa na #VIONGOZI. Uongozi una determine aina ya taasisi za nchi husika. Mathalani nchi za Asia (Four...

NGAZI YA UONGOZI KWA KIZAZI CHA VIONGOZI WA KESHO: Hatua 10 za Kukuza Uwezo Wako wa Uongozi (LADDER OF LEADERSHIP FOR THE NEXT GENERATION LEADERS: 10 Steps to enrich your leaderahip potential)

Image
Kwa miaka kadhaa sasa nimekuwa nikikutana na vijana wenzangu katika matukio mbalimbali kuzungumza kuhusu masuala ya Vijana na Uongozi. Mwaka 2018  nilialikwa na Taasisi ya AmaniFursa katika kongamano liitwalo “Career Building Festival” kwenda kuzungumza na vijana wa sekondari kuhusu “Vijana na Uongozi” Baada ya kutafakari kwa muda kuhusu nini ninapaswa kuzungumza kwao, ilinibidi nirejee uzoefu wa maisha yangu binafsi, kupitia simulizi za safari ya uongozi waliopitia viongozi mbalimbali waliofanya mambo makubwa duniani, kupitia vitabu mbalimbali vya Uongozi na hatimaye nikajikuta nimeandaa mada niliyoiita kwa jina la “Ladder of Leadership for the Next Generation Leaders” (Ngazi ya Uongozi kwa Kizazi cha Viongozi wa Kesho). Katika Mada hii niliainisha mambo 10 ambayo kijana anapaswa kuyazingatia ili aweze kufikia kiwango cha mafanikio katika uongozi au katika nyanja ambayo yeye anataka kuifanyia kazi. Baadhi ya mambo hayo ni muhimu siyo tu kwa viongozi vijana wa kesho bali ni mu...

TANZANIA YA KESHO IPO MIKONONI MWA WATOTO WAKE. TUNAWAANDAJE?

Image
Na Jabiri O. Makame Tarehe  16 Juni, Tanzania inaungana na mataifa mengine Barani Afrika KUADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA. Siku hii huadhimishwa kila mwaka ikiwa ni kumbukumbu ya vifo vya watoto waliouawa huko sowetho, Afrika Kusini wakiwa katika maandamano ya kupinga utawala wa kibaguzi wa makaburu. Siku hii hutumika kwa kufanya tafakuri juu ya haki mbalimbali za mtoto katika masuala ya malezi, makuzi, ulinzi na usalama wa mtoto. Maamuzi ya kuadhimisha siku hii yalifanyika Novemba, 20, 1989 ambapo mkataba wa Kimataifa wa haki za watoto (Convention on the Rights of the Child) uliridhiwa  katika mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa na Tanzania iliridhia mkataba huu mwaka 1991. Maamuzi hayo yalifanyika kwa kutambua kwamba, hatma ya taifa lolote lile duniani inategemea aina ya malezi na makuzi yatolewayo kwa watoto. Taifa linalojali na linalotambua thamani ya mtoto wa leo kwa mustakabali wa taifa la kesho, daima huandaa mazingira wezeshi ya malezi na makuzi ya mtoto ili ...

APLLY FOR HURFORD YOUTH FELLOWS PROGRAM FOR YOUTH LEADERS (FULLY FUNDED TO UNITED STATES)

Image
The Hurford Youth Fellowship is now accepting applications! Applications will close on July 1, 2019. B The Hurford Youth Fellowship Program seeks to build the leadership skills and harness the potential of young democracy activists from around the world. Through the Program, young activists spend three months at the World Movement’s Secretariat, during which they expand their global connections, share experiences with other activists from democracy movements around the world, and contribute to the development of the World Movement for Democracy and the World Youth Movement for Democracy. Hurford Youth Fellows engage in strategic meetings; conduct research; and organize and lead presentations, online discussions, and information-sharing sessions on key democracy issues. Upon the successful completion of each fellowship, the fellows serve as a regional/country focal point, working with the Hurford Youth Fellowship Alumni Network to remain involved and take the lead in World Youth...

YOUNG GLOBAL CHANGERS PROGRAM, 2019 (FULLY FUNDED TO THE GLOBAL SOLUTIONS SUMMIT IN BERLIN)

Image
  The deadline for all application is January 20, 2019 As part of the Global Solutions Summit 2019, Young Global Changers program invite outstanding young talents with first class results in their academic discipline and who are engaged in society – in social, political or environmental activities – to participate in the Global Solutions summit as well as our summer school from March 16-20, 2019 in Berlin. During five intense days, the participants will connect with policy thinkers and policy leaders from think tanks, politics, business and civil society to share ideas and know-how. During workshops and lectures, the participants work with Nobel laureates, luminaries from academia and economy as well as world-renowned thought leaders. The participants will be able to attend talks and discussions at the 2019 Global Solutions Summit and will engage with the content and ideas discussed at the summit.  Young Global Changers is offering...

GLOBAL YOUTH SUMMIT, 2019 (FULLY FUNDED TO ZURICH SWITZERLAND)

Image
All passionate, enthusiastic, dedicated and proactive young social entrepreneurs, community organisers, activists, volunteers and campaigners who are working towards attaining the Sustainable Development Goals – we want you! Share your work with us by applying to the summit and have a chance to be selected as a Global Changemaker 2019 and attend the fully funded Global Youth Summit 2019. The GYS2019 will take place from 14 to 20 July in Zurich, Switzerland and we will invite 60 exceptional Changemakers to join us for a life-changing   week of learning, networking and fun alongside the world’s most inspiring young leaders like you. As one of the 2019 Global Changemakers you will join our network of over 1000 young changemakers working to make a difference in over 180 countries and be eligible to apply for grant funding to launch or scale your project Who is Eligible? We are looking for interesting, enthusiastic, determined and motivated you...

GREAT TRIP TO SHANGHAI

Image
Mwenda   ISAND   4天前                      About the author Seleman Yusuph Mwenda, is a 2nd year Tanzania postgraduate student, pursuing masters degree in rural development and management studies at the college of humanities and development studies . From 2nd to 6th July, 2018 I had a privilege of visiting the city of Shanghai and Hangzhou. While at Shanghai i visited the founding site of the Communist Party of China (CPC) and learn massive history of Chinese administrations and political endeavors. I attended various public lectures, meetings and conferences, and managed to meet numerous numbers of profound people leaders, elites, professionals and had fruitful exchange on the cause of China development, whom mostly put forward that to understand modern Chinese society and revolution, I should first get the drift of CPC, still it was inadequate to understand enough, couldn’t quench my thirst by visiting Ti...